VIWANDA VYA DAWA NA VIFAA TIBA KUJENGWA NCHINI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIWANDA VYA DAWA NA VIFAA TIBA KUJENGWA NCHINI

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwe akihutubia jijini Dar es Salaam jana kwenye mkutano wa kujadili namna ya kuanzisha viwanda vya dawa na vifaa tiba ulioandaliwa na Bohari ya Dawa (MSD) kwa ushirikiano wa Sekta binafsi na Umma (PPP) ambao uliwakutanisha wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali. Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu akizungumza kwenye mkutano huo. Kaimu Mkurugenzi wa Fedha na Mipango waMSD Bw. Sako Mwakalobo akizungumza kwenye mkutano huo. Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa meza kuu.Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD) Laurean Bwanakunu akizunguma kwenye mkutano huo.
Na Mwandishi Wetu
VIWANDA vya dawa na vifaa tiba vinatarajiwa kujengwa hapa nchini na kuifanya Tanzania kutosheleza mahitaji ya soko la ndani.
Hayo yalibainishwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwe jijini Dar es Salaam jana kwenye mkutano wa kujadili namna ya kuanzisha viwanda hivyo kwa ushirikiano wa sekta binafsi na umma ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More