Viwango Vitano Vya Kupima Afya Yako Kifedha Na Kuweza Kujua Hatua Ulizopiga Kifedha. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Viwango Vitano Vya Kupima Afya Yako Kifedha Na Kuweza Kujua Hatua Ulizopiga Kifedha.

Rafiki yangu mpendwa, Linapokuja swala la fedha, kila mtu ana namba na viwango vyake. Kwa sababu tunatofautiana ndoto, kazi/biashara, kipato, mitindo ya maisha na hata mazingira, matokeo yetu ya kifedha hayawezi kulingana. Hivyo kujipima hatua ulizopiga kifedha kwa kuwatumia wengine ni kujiumiza na hata kujirudisha nyuma, kwa sababu kuna namba nyingi ambazo utakuwa huzijui kuhusu... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More