Viwanja 14 kuuzwa kwa mnada Dodoma - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Viwanja 14 kuuzwa kwa mnada Dodoma

HALIMASHAURI ya  Jiji la Dodoma linakusudia kuuza viwanja  maalum 14 kwa njia ya mnada utafanyika siku ya Alhamisi 10 Januari mwaka huu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Mkuu wa Idara ya Ardhi, Mipango Miji na Maliasili katika Jiji la Dodoma, Joseph Mafuru alisema kuwa viwanja hivyo ni kwa ajili ya biashara kwa wawekezaji ambao ...


Source: MwanahalisiRead More