Voda yazindua Huduma ya lipa kwa Simu mkoani Dodoma - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Voda yazindua Huduma ya lipa kwa Simu mkoani Dodoma

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto (kulia), akimsikiliza mfanyakazi wa kampuni ya mabasi ya Shabiby jinsi wanavyopokea wateja wanaolipa kupitia huduma ya Vodacom ya Lipa Kwa Simu Yako wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo katika ofisi za Shabiby jijini Dodoma leo.

     Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto (katikati), akimsikiliza mkurugenzi wa kampuni ya mabasi ya Shabiby, Mohammed Shabiby (kushoto) jinsi wanavyopokea wateja wanaolipa kupitia huduma ya  Vodacom ya Lipa Kwa Simu Yako wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo katika ofisi za Shabiby jijini Dodoma leo. Kushoto ni  Meneja wa Lipa, Luis Maro.    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto (kulia), akimsikiliza mhudumu wa Vodacom katika kampuni ya mabasi ya Shabiby jinsi wanavyopokea wateja wanaolipa kupitia huduma ya  Vodacom ya Lipa Kwa Simu Yako wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo katika ofisi za Shabiby jijini Dodoma leo. Kushoto ni ni  Meneja wa Lipa, Luis Maro.

   Kamanda wa Polisi ... Continue reading ->

Source: Mwanaharakati MzalendoRead More