Vodacom Tanzania PLC yaandaa hafla ya 'Bring Your Kid to Work,' Watoto wa wafanyakazi watembelea na kujifunza kuhusu kampuni hiyo - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

Vodacom Tanzania PLC yaandaa hafla ya 'Bring Your Kid to Work,' Watoto wa wafanyakazi watembelea na kujifunza kuhusu kampuni hiyo

 Watoto wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc, wakicheza muziki wakati wa hafla ya Bring your kid to work iliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.

 Watoto wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc, wakicheza moja ya mchezo wakati wa hafla ya Bring your kid to work iliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania plc, wakishindana kurusha kamba wakati wa hafla ya Bring your kid to work iliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakichora picha wakati wa hafla ya Bring your kid to work iliyofanyika m... Continue reading ->
Source: Mwanaharakati MzalendoRead More