Vodacom Tanzania Plc yakabidhi zawadi kwa mshindi wa Milioni 290 za Tusua Mapene. - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Vodacom Tanzania Plc yakabidhi zawadi kwa mshindi wa Milioni 290 za Tusua Mapene.

Mshindi mkuu wa awamu ya kwanza ya promosheni ya Tusua mapene, Jackson A. Mwankemwa (51) ambaye ni mkazi wa  kijiji cha Msasani, Wilaya ya Rungwe  mkoani Mbeya, akikabidhiwa mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi  290,409,580 na mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kulia) wakati wa  hafla iliyofanyika makao makuu ya Vodacom jijini Dar es Salaam jana, katikati ni  afisa kitengo cha Kidijitali na Huduma za ziada  wa kampuni hiyo Furaha Limu.

Mshindi mkuu wa awamu ya kwanza ya promosheni ya Tusua mapene, Jackson A. Mwankemwa (51) ambaye ni mkazi wa  kijiji cha Msasani, Wilaya ya Rungwe  mkoani Mbeya, akikabidhiwa mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi  290,409,580 na mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kulia) wakati wa  hafla iliyofanyika makao makuu ya Vodacom jijini Dar es Salaam jana, katikati ni  afisa kitengo cha Kidijitali na Huduma za ziada  wa kampuni hiyo Furaha L... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More