Vodacom Tanzania wana huduma mpya - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Vodacom Tanzania wana huduma mpya

Vodacom Tanzania wamekuwa wakija na huduma mbalimbali kama njia ya kuvutia wateja ambao tayari wanatumia mtandao huo au hata wale ambao wanashawishika na kuamua kujiunga nao. Makampuni yanayojishughulisha na utoaji huduma za mawasiliano nchini Tanzania yamekuwa katika ushindani kila leo na mmoja akitoa hudma fulani basi na mwingine yupo kwenye maandalizi ya kutoa ya kwake [...]


The post Vodacom Tanzania wana huduma mpya appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More