VODACOM TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE JIJINI DAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VODACOM TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE JIJINI DAR

Mkurugenzi wa Wateja wa Mikataba (Business Enterprise Unit) Vodacom Tanzania, Arjun Dhillon akitoa neno la shukrani kwa baadhi ya wateja wa Vodacom Tanzania walioudhuria kwenye futari hiyo iliyoandaliwa na mtandao huo jijini Dar es Salaam.Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa wateja kutoka Vodacom Tanzania, Bakari Kamenge akizungumza na baadhi ya wateja wa Vodacom Tanzania jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, wakati mtandao huo ulipoandaa futari mahsusi kwa wateje hao ili kuongeza ukaribu na  wateja wao.
Baadhi ya wateja na wafanyakazi wa mtandao wa simu wa Vodacom Tanzania wakichukua futari, wakati wa hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na mtandao huo jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wateja na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakifuturu wakati wa hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na mtandao huo jijini Dar es SalaamBaadhi ya wateja na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakibadilishana mawazo mara baada ya kufuturu pamoja kwenye futari iliyoandaliwa na mtandao huo jijini Dar es Salaam... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More