Vodacom yaboresha mfumo wake wa huduma kwa wateja - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Vodacom yaboresha mfumo wake wa huduma kwa watejaYatambulisha menyu mpya ya USSD kwa huduma binafsi   ‘Customer Service’ sasa kuitwa ‘VODACARE’ Novemba 2019, Dar es Salaam. Kampuni inayoongoza kwa teknolojia ya mawasiliano nchini, Vodacom Tanzania PLC, hivi karibuni iliadhimisha wiki ya huduma kwa wateja, kwa kutangaza mabadiliko katika mfumo wake wa huduma kwa wateja. Lengo la mabadiliko hayo ni kutoa uhuru kwa wateja wake kupata huduma kwa urahisi pale inapotakiwa.“Tuna zaidi ya njia nane ambazo mteja anaweza kuzitumia kutufikia na leo tunaiongeza nyingine ambayo itampa mteja fursa ya kujihudumia; hii ni menyu ya USSD, ambayo inapatikana katika simu,” alisema Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom, Harriet LwakatareKwa kupiga *149*01# mteja anaweza kufanya miamala ya M-Pesa, kuangalia taarifa za matumizi, kupata huduma muhimu kama vile kununua Luku, kuangalia salio, kifurushi cha intaneti na taarifa kuhusu bidhaa mbalimbali za Vodacom.   “Kwa idadi ya zaidi ya wateja milioni 14, kitengo cha huduma kwa watej... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More