Vodacom yadhamini Mbio za Capital City Marathon kuhimiza umuhimu wa mazoezi - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Vodacom yadhamini Mbio za Capital City Marathon kuhimiza umuhimu wa mazoezi

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc kanda ya kati wakiwa  tayari kwa ajili ya kuanza mbio za Capital City Marathon zilizofanyika Jijini Dodoma mwishoni mwa wiki, kampuni hiyo ilidhamini wanafunzi 51 kutoka vyuo vikuu mbalimbali vilivyoko jijini humo pamoja na wafanyakazi wake 35 ili kuwajengea tabia ya kufanya mazoezi na kuboresha afya zao.


Mkuu wa mauzo wa kanda ya kati wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc Grace Chambua (wa nne kutoka kulia mwenye kofia) akijiandaa kuanza mbio za Marathon za Capital City zilizofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dodoma, kampuni hiyo ilidhamini wanafunzi 51 kutoka vyuo vikuu mbalimbali vilivyoko jijini humo pamoja na wafanyakazi wake 35 ili kuwajengea tabia ya kufanya mazoezi na kuboresha afya zao.... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More