Vodacom yadhamini mkutano wa 39 wa SADC - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Vodacom yadhamini mkutano wa 39 wa SADC

Rais wa Muungano wa Jamuhuri ya Tanzania, Mh. John Pombe Magufuli, akisalimiana na Meneja Masoko wa kampuni ya Vodacom Tanzania Noel Mazoya, alipotembelea banda lao katika maonyesho ya nne ya Viwanda ya Jumuiya ya nchi za kusini mwa Afrika (SADC), yaliyofunguliwa rasmi  jijini Dar es Salaam. Kampuni ya Vodacom Tanzania ni miongoni mwa wadhamini wa maonyesho hayo, ikiwa ni jitihada ya kuhakisha wageni wote wanapata huduma ya mawasiliano na mtandao wa uhakika. Wakwanza kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania Jacqueline Materu

Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Mhandisi Stella M. Manyanya akisoma ripoti ya uwekezaji katika maendeleo ya watu na mpango mpya ya Vodacom Tanzania Foundation, aliyenaye ni  Meneja Mahusiano wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Alex Bitekeye, katika banda lao kwenye mkutano wa 39 wa SADC , jijini Dar es salaam, hivi karibuni. Katika mkutano huo kampuni ya Vodacom Tanzania imedhamini upande wa mawasiliano ikiwa ni jitihada ya ... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More