VODACOM YADHAMINI NA KUTOA VIFAA VYA MAWASILIANO KWA WAPANDAJI WA MLIMA KILIMANJARO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VODACOM YADHAMINI NA KUTOA VIFAA VYA MAWASILIANO KWA WAPANDAJI WA MLIMA KILIMANJARO

 Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kaskazini, Brigita Stephen (katikati) akizungumza na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Samsung kanda ya Africa Sung Yoon (kushoto) aliyeambatana na mwanaye Jason Yoon baada ya kuwakabidhi Moderm zitakazotumika kwa ajili ya mawasiliano wawapo mlimani, zoezi hili hufanyika kila mwaka kwa ajili ya kuchangisha fedha za kusaidia watoto wa kike ijulikanayo kama Trek4Mandela.Mkuu wa Vodacom kanda ya Kaskazini, Brigita Stephen akikabidhi Moderm kwa mmoja wa washiriki wa changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro ijulikanayo kama Trek4Mandela,wakati washiriki hao wakiagwa kabla ya kuanza kwa zoezi la kupanda Mlima, Vodacom imekabidhi Moderm sita kwa kundi hilo ili kurahisisha mawasiliano wakati wa kupanda mlima huo mrefu kuliko yote barani Afrika.Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More