VODACOM YAINGIA MAKUBALIANO MAPYA NA GOOGLE PLAY STORE KURAHISISHA UNUNUZI WA APP - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VODACOM YAINGIA MAKUBALIANO MAPYA NA GOOGLE PLAY STORE KURAHISISHA UNUNUZI WA APP


  Mkuu wa Mawasiliano na Mahusiano ya umma wa Vodacom, Jacquiline Materu (kati) akiwaonesha waandishi wa habari jinsi ya kufanya manunuzi  kwa kutumia salio la simu wakati wa uzinduzi wa ubia huo kati ya Vodacom na Google Play Store jijini Dar es Salaam leo. Wengine ni  Meneja wa Ushirikiano wa Jukwaa la Android Afrika kutoka GoogleCassandra Mensah-Abrampah (kulia) na Mtendaji wa huduma za thamani wa Vodacom, Prestin Lyatonga (kushoto)
 Mkuu wa Mawasiliano na Mahusiano ya umma wa Vodacom, Jacquiline Materu akizungumza na  waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa ubia kati ya Vodacom Tanzania na Google Play Store unaorahisisha manunuzi kwa kutumia salio la simu jijini Dar es Salaam leo.   Meneja wa Ushirikiano wa Jukwaa la Android Afrika kutoka GoogleCassandra Mensah-Abrampah (kulia) akizungumza na waandishi wakati wa uzinduzi wa ubia kati ya Vodacom Tanzania na Google Play store unaorahisisha manunuzi kwenye Google Play Store. Wengine ni  Mkuu wa... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More