VODACOM YAJIPANGA ZAIDI KUFUNGUA MASOKO KWA NCHI ZA SADC - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VODACOM YAJIPANGA ZAIDI KUFUNGUA MASOKO KWA NCHI ZA SADC

Meneja Masoko wa Huduma za Kifedha Vodacom Tanzania Noel Mazoya (kulia) akifafanua jambo wakati akiongea na wanahabari wakati wa maonesho ya viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam. Pembeni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Alex Bitekeye. Picha na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.Naibu Waziri wa viwanda na Biashara, Injinia Stella Manyanya (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Alex Bitekeye mara baada ya kutembelea banda la Vodacom Tanzania wakati wa maonesho ya wiki ya viwanda vya nchi za SADC.Naibu Waziri wa viwanda na Biashara, Injinia Stella Manyanya (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Alex Bitekeye.Naibu Waziri wa viwanda na Biashara, Injinia Stella Manyanya (kulia) akizungumza machache na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Alex Bitekeye mara baada ya kutembelea banda la Vodacom Tanzania wakati wa maonesho ya wiki ya viwanda vya nchi za SADC.Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakitoa huduma mar... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More