VODACOM YAWARAHISHIA WATANZANIA KUFANYA MALIPO KATIKA TAASISI ZA SERIKALI KUPITIA M-PESA APP QR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VODACOM YAWARAHISHIA WATANZANIA KUFANYA MALIPO KATIKA TAASISI ZA SERIKALI KUPITIA M-PESA APP QR

  Mkuu wa Kitengo cha Mwendelezo wa Biashara ya M-Pesa, Vodacom Tanzania Plc,Polycarp Ndekana (Kulia ) akiongea kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati wa uzinduzuzi wa huduma mpya na ya kwanza nchini inayomwezesha mwananchi kufanya miamala ya malipo kwa mfumo wa serikali wa Kielektroniki  kwa kupitia Huduma ya M-Pesa APP QR  zaidi ya taasisi za serikali 150 zimesha anza kupokea malipo kwa njia ya huduma  hiyo kwa kupiga *150*00#  wanaoshuhudia kutoka kushoni  Mhasibu wa Fedha  wa RITA, Audiface Cresence  na Afisa Mwandamizi wa Tehama  Wizara ya Fedha , Benard Mabagala.  Mkuu wa Kitengo cha Mwendelezo wa Biashara ya M-Pesa, Vodacom Tanzania Plc,Polycarp Ndekana (Kulia ) akiwaonyesha  waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,(hawapo pichani) jinsi ya kujiunga na huduma ya malipo kwa njia ya mtandao wakati wa uzinduzuzi wa huduma mpya na ya kwanza nchini inayomwezesha mwananchi kufanya miamala ya malipo kwa mfumo wa serikali wa Kielektroniki  kwa kup... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More