VYAMA VYA SIASA HAPA NCHINI VIMETAKIWA KUDUMISHA NA KUIMARISHA DEMOKRASIA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VYAMA VYA SIASA HAPA NCHINI VIMETAKIWA KUDUMISHA NA KUIMARISHA DEMOKRASIA

Msajili wa vyama vya siasa,Jaji Francis Mutungi akizungumza na viongozi wa vyama vya siasa kuhusu kudumisha na kuimarisha demokrasia ndani ya vyama vyao leo jijini Dar es Salaam.Msajili msaidizi bw. Sisty l.Nyahoza akizungumza na viongizi wa vyama vya siasa katika semina ya siku mbili leo jijini Dar es Salaam.Makamu Mkuu Mstaafu wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam Profesa Rwekaza Mkandala akizungumza na viongizi wa vyama vya siasa kuhusu jinsi ya kujiendesha chama kama taasisi.Sehemu ya viongizi wa vyama vya siasa wakiwa katika sema hiyo.
Vyama vya siasa hapa Nchini vimetakiwa kudumisha na kuimarisha demokrasia ndani ya vyama vyao ili viweze kutekeleza majukumu yao kama taasisi imara tofauti na mawazo ya walio wengi kuwa vyama hivyo sio imara kiasi cha kufananishwa na vikundi vidogo vidogo katika Jamii kama vile Saccos.
Hayo yalisemwa na Msajili wa vyama vya siasa hapa Nchini Jaji Francis Mutungi wakati wa ufunguzi wa kikao kazi na Viongozi wa Kitaifa wa vyama vya siasa kinachoendelea leo... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More