VYOMBO VYA UMMA VYATAKIWA KUSIMAMIA HAKI YA UPATIKANAJI TAARIFA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VYOMBO VYA UMMA VYATAKIWA KUSIMAMIA HAKI YA UPATIKANAJI TAARIFA

Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika ,tawi la Tanzania (Misa-Tan) Salome Kitomary akizungumza jambo wakati wa Mafunzo kwa watumishi wa Mahakama mkoa wa Kilimanjaro .   Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika ,tawi la Tanzania (Misa-Tan) Salome Kitomary akisikiliza mawazo mbalimbali kutoka kwa washiriki wa mafunzo hayo. Mkufunzi katika Mafunzo yanayowahusisha watumishi wa Mahakama,Wakili James Marenga akiwasilisha mada katika mafunzo hayo yanayofanyika Hoteli ya Leopard mjini Moshi. Baadhi ya Washiriki katika mafunzo hayo wakifurahia jambo wakati wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa na wakufunzi.   Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
VYOMBO  vya umma vimetakiwa kuwasimamia haki ya upatikanaji wa taarifa ikwa ni pamoja na kuwa wakala kwa mwananchi yoyote atakayehitaji kupata haki isipokuwa kama kuna sheria inayotoa ufafanuzi wa msingi kwanini zisitolewe.
Hayo yamelezwa na Mkufunzi katika mafunzo kwa watumishi wa Mahakam... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More