WAANDISHI WA HABARI RAFIKI WA WANYAMAPORI WAFIKA MTAMBASWALA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAANDISHI WA HABARI RAFIKI WA WANYAMAPORI WAFIKA MTAMBASWALA

 Kikundi cha waandishi wa habari rafiki wa wanyamapori na urithi wa asilia wakiwa katika eneo la Mangaka wilaya ya Nanyumbu Mkoani Mtwara, wakiwa njiani kuelekea daraja la umoja Mtambaswala kuangalia vivuko vya tembo na swala kutoka mbuga ya wanyama ya Seloue kuelekea Msumbiji.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More