Waandishi wa habari wahihitimu kozi fupi ya habari za mtandaoni. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waandishi wa habari wahihitimu kozi fupi ya habari za mtandaoni.

Mwenyekiti wa TATO Willy Chambulo ambaye ndiye mgeni rasmi ,akizungumza katika mahafali hayo yaliyofanyika katika Chuo cha Habari Maalum kilichopo Ngaramtoni mkoani Arusha .Mwenyekiti wa Chama cha waandishi wa habari mkoani nArusha Cloud Gwandu akizungumza katika mahafali hayo yaliyofanyika katika chuo cha Habari Maalum.Wahitimu wa mafunzo hayo wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni rasmi Mwenyekiti wa TATO Willy Chambulo wa pili kutoka kushoto waliosimama mbele pamoja na viongozi wa chuo cha uandishi wa habari na uongozi cha Habari Maalum Media.
Na.Vero Ignatus,Arusha
Waandishi wa habari mkoani Arusha chini ya chama cha waandishi wa habari mkoani hapo( APC)Wamehitimu mafunzo ya muda mfupi ya uandaaji na utayarishaji na video na uzalishaji yaliyoandaliwa na chuo cha Habari Maalum Media lengo likiwa ni kuwajengea uwezo katika kuyatimiza majukumu yao ya kila siku.
Mafunzo hayo yamehusisha utayarishaji wa miradi,upigaji picha,uaandaaji wa picha ,kuhariri na uzalishaji wa vipindi mbalimbali ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More