Waandishi wa habari wanafanya kazi katika mazingira magumu - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waandishi wa habari wanafanya kazi katika mazingira magumu

Waandishi wa habari za michezo ni aibu kubwa sana kupigwa ikiwa hajavunja sheria za nchi. Ni aibu mno. Tena mbaya zaidi akiwa uwanjani. Uwanjani ni sehemu ya furaha na burudani. Askari hawana mamlaka yeyote kumzuia au kumpiga mwandishi bila sababu zote. Hata kama sababu ya kumpiga ipo lakini hairuhusiwi kumpiga ila kumfikisha kwenye chombo husika. Nimejaribu kuangalia matukio mbalimbali ambayo wandishi wanakumbana nayo viwanjani.Source: Shaffih DaudaRead More


About Us

Presstz is a platform that brings together content from selected sources and places them on one portal, The content may vary from breaking news,entertainment posts, music videos, sports highlights, fashion trends etc from Tanzania and accross the globe.


Get the PressTZ Android app on Google Play

Contact us

Matukio mabaya kwa waandishi wa habari za Michezo
Somalia 17 Aprili 2008 Waandishi wa habari Muse Mohamed Osman na Shafici Mohyaddin Abokar, walikamatwa kwenye mkutano wa Raisi wa shirikisho la soka la Somalia, Somalia Sports Press Association (SSPA) . Walikamatwa mjini Mogadishu na askari walikamatwa na kutishiwa maisha na askari hao kabla ya waandishi wengine wa habari wanne Ibrahim Abdi Hassan, Abdi Kamil Yusuf, Mohamed Abdullahi na Mohamed Kafi Ali kushikilowa na polisi. Waandishi wote walochukuliwa kwa ulinzi mkali kama magaidi

Taarifa na SSPA&IFJ

Per... Continue reading ->