Waandishi wa Habari Wapewa Semina Fupi kuelekea Tamasha la JAMAFEST - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waandishi wa Habari Wapewa Semina Fupi kuelekea Tamasha la JAMAFEST

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbasi (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa semina maalum kwa waandishi kuelekea Tamasha la Utamaduni wa Afrika Mashariki (JAMAFEST) litakaloanza kesho 21 Septemba katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa maandalizi ya tamasha hilo Bi. Joyce Fissoo na kulia Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari, Rodney Thadeus.Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abas akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa semina maalum kwa waandishi kuelekea Tamasha la Utamaduni wa Afrika Mashariki (JAMAFEST) litakaloanza kesho 21 Septemba katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya maandalizi ya Tamasha la Utamaduni wa Afrika Mashariki (JAMAFEST) Bi. Joyce Fissoo akieleza historia ya tamasha hilo kwa waandishi wa habari wakati wa semina maalum kwa waandishi kuel... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More