Waandishi wa habari wawili wa CPJ wanatuhumiwa kufanya kazi Tanzania bila kibali - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waandishi wa habari wawili wa CPJ wanatuhumiwa kufanya kazi Tanzania bila kibali

Msemaji wa Idara ya Uhamiaji Ally Mtanda amesema hati ya kusafiri ya wafanyikazi hao zilishikiliwa kwa muda kwa ajili ya uchunguzi lakini wamerudishiwa


Source: BBC SwahiliRead More