Wabongo waenda na mchele kuishabikia Stars Lesotho - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wabongo waenda na mchele kuishabikia Stars Lesotho

Mashabiki wa timu ya Taifa 'Taifa Stars wameamua kununua kilo 60 za mchele kwenda nazo Lesotho kwa ajili ya matumizi ya chakula katika kipindi chote cha safari yao huko.


Source: MwanaspotiRead More