Wabunge Chadema, CCM walichoka gazeti la Tanzanite - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wabunge Chadema, CCM walichoka gazeti la Tanzanite

MBUNGE wa Ndanda, Cecil Mwambe (Chadema) na Mbunge wa Nzega Vijijini, Hussein Bashe wamehoji uhalali na jeuri ya gazeti la Tanzanite ya kuwatukana watu inaipata wapi. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli ya kuliita gazeti hilo la kihuni na halina maadili ya kiuandishi huku gazeti imetokana na gazeti hilo kuwatuhumu baadhi ya watumishi mabalimbali ...


Source: MwanahalisiRead More