Wabunge Kenya wamekwenda kuangalia kombe la dunia kwa gharama ya nani? - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wabunge Kenya wamekwenda kuangalia kombe la dunia kwa gharama ya nani?

Wakenya wameonyesha hasira katika mitandao ya kijamii kufuatia safari yenye thamani ya maelfu ya dola waliofunga wabunge nchini kwenda kuangalia kombe la Dunia Urusi.


Source: BBC SwahiliRead More