WABUNGE WA BUNGE LA UGANDA WATEMBELEA BUNGE LA AFRIKA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WABUNGE WA BUNGE LA UGANDA WATEMBELEA BUNGE LA AFRIKA

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika, Mheshimiwa Stephen Masele akiwa ofisini kwake katika Makao Makuu ya Bunge la Afrika, Midrand, Johannesburg, Afrika Kusini akizungumza na Ujumbe wa wabunge kutoka Bunge la Uganda waliotembelea Bunge la Afrika leo Mei 14,2019. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde1 blog.Kushoto ni Mhe. Masele akizungumza na Ujumbe wa wabunge kutoka Bunge la Uganda (kulia) waliotembelea Bunge la Afrika.Wabunge wa Bunge la Uganda wakimsikiliza Mhe. Masele. Kiongozi wa Ujumbe huo wa wabunge kutoka Uganda Mhe. Ongalo Obote Kenneth akielezea lengo la ziara yao kutembelea Bunge la Afrika.Picha ya pamoja,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika,Mheshimiwa Stephen Masele na wabunge wa bunge la Uganda.Mbunge kutoka Uganda, Mhe. Mugoya Kyawa (kulia) akiteta jambo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika, Mhe. Stephen Masele.
---
Wabunge wa Bunge la Uganda wametembelea Bunge la Afrika ‘Pan - African Parliament’ katika makao yake makuu Jijini Johannesbu... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More