WABUNGE WA MAREKANI SASA WAFIKIA MAKUBALIANO YA UFADHILI WA SERIKALI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WABUNGE WA MAREKANI SASA WAFIKIA MAKUBALIANO YA UFADHILI WA SERIKALI

Na Ripota WetuKUNDI la Maseneta wa Republican na Democrats nchini Marekani wamesema wamefikia makubaliano ya ufadhili wa Serikali kuelekea tarehe ya mwisho inayotishia kufungwa kwa sehemu fulani ya shughuli za Serikali.
Kwa mujibu wa mtandao wa DW inaeleza kuwa wabunge wanakabiliwa na tarehe ya mwisho Februari 15 ya ufadhili wa Serikali na kuafikiana na mahitaji ya fedha ya rais Donald Trump kuhusu ujenzi wa ukuta na Mexico.
Hata hivyo ikiwa tarehe hiyo ya mwisho itafikiwa bila muafaka, Serikali huenda ikafunga sehemu fulani ya shughuli zake na kuwalazimu mamia kwa maelfu ya wafanyakazi wa shirikisho kufanya kazi bila ya malipo. Vyombo vya habari vya Marekani vimemnukuu seneta wa Republican Richard Shelby kuwa kumefikiwa makubaliano.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More