Wabunge wafunguka kutekwa kwa MO Dewji - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wabunge wafunguka kutekwa kwa MO Dewji

BAADHI ya Wabunge hapa nchini wametoa neno kuhusu tukio la kupotea kwa Mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’, huku wakitoa wito kwa serikali kufanya uchunguzi wa tukio hilo na kutoa taarifa ili kuitoa hofu jamii. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumzia kuhusu tukio hilo lililotokea alfajiri ya leo tarehe 11 Oktoba 2018, katika Gym ya hoteli ya ...


Source: MwanahalisiRead More