Wabunge watatu Upinzani kutua CCM kabla Bunge kuanza - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wabunge watatu Upinzani kutua CCM kabla Bunge kuanza

WABUNGE watatu wa upinzani- wawili Chadema na mmoja Chama cha Wananchi (CUF), wako mbioni kuvikimbia vyama vyao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Saed Kubenea … (endelea). Habari kutoka kwa watu waliokaribu na wabunge hao na CCM zinasema, tayari mazungumzo ya kuwachukua wabunge hao tayari yamekamilika. “Hawa wawili wataondoka wakati wowote. Tayari wameomba ...


Source: MwanahalisiRead More