WACHEZA WA KARATE TANZANIA WAIBUKA KIDEDEA KATIKA MASHINDANO YA AFRIKA MASHARIKI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WACHEZA WA KARATE TANZANIA WAIBUKA KIDEDEA KATIKA MASHINDANO YA AFRIKA MASHARIKI


Na Mwandishi WetuWACHEZAJI  karate wa Tanzania, Mikidadi Kilindo na Elisiana Katani wameibuka washindi wa mashindano ya kata kwa upande wa wanaume na wanawake katika mashindano ya Afrika ya Mashariki na Kati yaliyomalizika jijini Kampala, nchini Uganda hivi karibuni.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la JKA Tanzania, Fedeliko Nestory amewasifu wachezaji hao kwa kushinda medal hizo, sio kwa wao binafsi, bali kwa nchi pia.

Kilindo, mwenye dani 4 ( maarufu Ganchan) ambaye pia ni Mkufunzi Mkuu msaidizi wa JKA/Tanzania, ameshinda medali ya dhahabu, baada ya kuwashinda washiriki wengine kutoka nchi zaidi ya 10 zilizoshiriki katika upande wa kata (kuonyesha maarifa ya kupigana) kwa upande wa wanaume. Hii ni mara ya tano kwa Ganchan kushinda taji hili.
Pia ni mara ya kwanza kwa kushinda taji hili, akiwa miongoni mwa wanawake wachache wanaocheza mchezo huu hapa nchini.
Katani, ambaye pia ni mkurugenzi msaidizi wa Idara ya Utoaji taarifa kwa Umma wa JKA/World Federation-Tanzania, ameshinda medali ya ... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More