Wachezaji Ndanda FC wazuiwa hotelini Singida - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wachezaji Ndanda FC wazuiwa hotelini Singida

Jinamizi la kukosa udhamini wa Ligi Kuu Bara limeanza kuonekana baada ya wachezaji wa Ndanda FC kuzuiwa kuondoka katika Hotel ya City Garden mjini Singida kwa kushindwa kulipa Sh 3milioni.


Source: MwanaspotiRead More