Wachezaji Ndondo Cup msikilizeni Geoff Lea - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wachezaji Ndondo Cup msikilizeni Geoff Lea

Mchambuzi wa masuala michezo Geoff Lea amesema mashindano ya Ndondo Cup ni daraja kwa wachezaji kupiga hatua kwenda sehemu nyingine ikiwa ni pamoja na kusajiliwa na vilabu vya daraja la pili, daraja la kwanza hadi ligi kuu.


Lea amesema wachezaji wanaonesha uwezo wa juu kwenye Ndondo licha ya ubovu wa viwanja kwa sababu wanakuwa huru kufanya watakavyo ukilinganisha na kwenye mechi za ligi na mashindano mengine.Source: Shaffih DaudaRead More