Wachezaji Simba wajazwa noti za mashabiki - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wachezaji Simba wajazwa noti za mashabiki

Nyota wa Simba, Mohammed Hussein na Maddie Kagere wameoga noti kutoka kwa mashabiki wa group Simba kwanza ikiwa Kama motisha kwa nyota hao ambao kila mmoja aliibuka mchezaji bora katika michezo ya ligi, Kagere katika mchezo dhidi ya Mwadui na Tshabalala katika mchezo wa jana Jumamosi dhidi ya Lyon.


Source: MwanaspotiRead More