Wachezaji Simba washerekea birthday ya Gadiel kwa kishindo - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wachezaji Simba washerekea birthday ya Gadiel kwa kishindo

Wachezaji wa Simba wamesherekea pamoja siku ya kuzaliwa kwa beki Gadiel Michael baada ya kumaliza mazoezi yao ya asubuhi waliyofanya kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.


Source: MwanaspotiRead More