Wachezaji Singida United wajifunze kwa Chirwa , Bossou - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wachezaji Singida United wajifunze kwa Chirwa , Bossou

Labda hadithi ya wachezaji Obrey Chirwa na sasa Vincent Bossou waliokuwa wakiichezea Yanga misimu miwili mmoja nyuma huko na kisha baada ya mikataba yao kumalizika waliamua kuondoka na kwenda nje kutafuta timu za kuchezea mbali na Yanga ambayo walikuwa pamoja, Obrey Chirwa akimkuta Vincent Bossou ndani ya klabu ya Yanga ambaye alidumu hapo kwa zaidi ya misimu miwili kisha akaondoka kwa madaha.


Source: MwanaspotiRead More