Wachezaji Singida United wamgomea kocha - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wachezaji Singida United wamgomea kocha

Jana bwana wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania bara kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Singida United kuna tukio lilitokea ambalo liliacha maswali mwengi!

.

.

Kocha wa Singida United Dragan Popadic alishindwa kuelewana na benchi lake la ufundi mara baada ya kutaka kufanya mabadiliko dakika ya 32 kwa kumtoa mchezaji Bright Obinna ili aingie Festo Simon.

.

.

Wachezaji wa Singida United pamoja na mchezaji aliyetakiwa kutolewa (Bright Obina) kwa pamoja waligomea mabadiliko hayo…ikabidi game iendelee! .

.

Kipindi cha pili kocha akashinda baada ya azimio lake la kumtoa Obinna kufanikiwa na akaingia Festo Simon.

.

.

Baada ya mchezo huo ambao Singida ilipoteza kwa kufungwa 1-0 na Mtibwa Sugar, kocha msaidizi Fred Felix Minziro akakiri kwamba kuna msuguano ndani ya timu yao hasa eneo la benchi la ufundi.

.

.

“Kocha mkuu ni mgumu sana kupokea ushauri, mimi nimeingia hivi karibuni lakini nimeona kocha ni mbishi kiasi kwamba wachezaji wamekuwa wanaingilia kati kwa jinsi nilivyoona bado hali si sh... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More