WACHEZAJI TAIFA STARS KWENYE NDEGE KWA SAFARI YA PRAIA KUWAVAA CAPE VERDE IJUMAA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WACHEZAJI TAIFA STARS KWENYE NDEGE KWA SAFARI YA PRAIA KUWAVAA CAPE VERDE IJUMAA

Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa kwenye ndege leo asubuhi wakati wa safari ya kwenda Praia kwa ajili ya mchezo wa Kundi L kufuzu AFCON 2019 dhidi ya wenyeji, Cape Verde Ijumaa
John Bocco akitafakari jambo wakati safari ya kwenda Praia leo
Wachezaji wa Taifa Stars wakiwa kwenye ndege leo kwa safari yaPraia 
Taifa Stars itamenyana na wenyeji, Cape Verde Ijumaa mjini Praia
Wachezaji wa Taifa Stars wanaonekana wapo tayari kwa mchezo huo wa Kundi L kufuzu AFCON 2019 ... Continue reading ->
Source: Bin ZuberyRead More