Wachezaji wa kigeni wanavyozidi kuiua La Masia katika ramani ya soka la Hispania - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wachezaji wa kigeni wanavyozidi kuiua La Masia katika ramani ya soka la Hispania

Kwa siku za hivi karibuni Real Madrid imeipiga bao Barcelona kwa kutoa idadi ya wachezaji wengi wanaounda kikosi cha timu ya taifa ya Hispania. Kuna mabadiliko, siku za nyuma wakati Hispania wanashinda Euro na kombe la dunia wachezaji wa Barcelona ndio walikuwa uti wa mgongo wa timu ya taifa ya Hispania.


Wachezaji hao walikuwa wametengenezwa kwenye academy yao ya La Masia akina Xavi, Puyol, Valdes (golikipa namba mbili nyuma ya Iker Casillas), Pedro, Iniesta, Busquest, Fabregas.
Kwa sasa kumetokea mabadiliko, wachezaji hao wakati wao umefika kikomo wameondoka. Sasa hivi Barcelona inaundwa na wachezaji wengi wa kigeni, Golikipa Mjerumani Ter Stegen, Umtiti-Ufaransa, Rakitic-Croatia, Coutinho-Brazil, Dembele-Ufaransa, Suarez-Uruguay, Messi-Argentina, achana na wazawa akina Pique ambaye amestaau timu ya taifa.
Hiyo ndio Barcelona ya sasa hivi ambapo wachezaji wakiitwa timu ya taifa labda Sergio Roberto, Jordi Alba wanaweza kuitwa (lakini tayari Alba hana uhusiano mzuri na kocha Luis En... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More