Wachezaji wa Simba wajazwa noti kibao - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wachezaji wa Simba wajazwa noti kibao

Mgawanyo wa fedha hizo ni kwamba waliocheza kila mmoja atachukua si chini ya Sh 2 milioni, huku wale walioishia benchi kama kipa Ally Salimu watavuta si chini ya Sh 1 milioni na wale ambao waliishia kukaa jukwaani kama Ibrahim Ajibu watabeba si chini ya Sh 500,000.


Source: MwanaspotiRead More