Wachezaji walalamika (Njaa) baada ya kipigo - Jamii na Michezo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wachezaji walalamika (Njaa) baada ya kipigo

 Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.FEB.01.2018 SAA 02:40 USIKU
Maelezo yaliyotolewa na mlinda mlango wa klabu ya Shupavu FC inayoshiriki ligi daraja la pili Khalifa Mgwira mara baada ya
mchezo wa kombe la shirikisho (Azam Sports Federation Cup) dhidi ya Azam FC yamepokelewa na uongozi wa shirikishola soka nchini TFF.
 Khalifa Mgwira alihojiwa mara baada ya mchezo huo na kutoa sababu za kupoteza dhidi ya Aam FC kwa jumla ya mabao matano kwa sifuru, huku akisisitiza kuwa walikuwa na (Njaa), ambapo anadai Tff ilishindwa kuwafikishia fedha za maandalizi.
TFF wametoa Tamko.
BOFYA HAPO CHINI KUSIKILIZA
.

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo),na instagram- kihwiliupdates... Continue reading ->
Source: Jamii na MichezoRead More