WACHIMBAJI WA VISIMA WAASWA KUFUTA SHERIA ZA UCHIMBAJI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WACHIMBAJI WA VISIMA WAASWA KUFUTA SHERIA ZA UCHIMBAJI

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii

Wachimbaji wa visima wameaswa kufuata sharia ,kanuni pamoja na taratibu ziliziowekwa na bodi ya Bonde la Wami/Ruvu ili kulinda vyanzo vya maji katika kuhakikisha wananchi wanapata maji safi na salama.

Hayo ameyasema Katibu Tawala Msaidizi wa Huduma za maji Mkoa wa Dar es Salaam , Elizabeth Kingu wakati akizungumza na wadau wa uchimbaji wa Visima uliondaliwa na Bodi ya Bonde la Wami/ Ruvu uuliofanyika jijini Dar es Salaam.

Kingu amesema kuwa sharia zilizowekwa lazima zifuatwe kwa wachimbaji kuhakikisha wanakuwa na vibali kutoka katika bonde ambao ndio wasimamizi wa vyanzo vya maji.

Amesema kuwa vyanzo vya maji vinahitaji kudhibitiwa kw kuhakikisha kila mtu anafuata sheria ya kufanya kazi ikiwa ni lengo moja ya kutoa huduma kwa wananchi.

Nae Afisa wa Maji wa Bonde la Wami/ Ruvu Mhandisi Simon Ngonyani amesema kuwa kumekuwa na uchimabji holela wa visima huku wengine wakiwa hawana hata leseni kutoka bonde. Amesema kuwa baada ya kikao hicho w... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More