WACHIMBAJI WADOGOWADOGO WATAKIWA KUZINGATIA TARATIBU UPATIKANAJI WA LESENI - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WACHIMBAJI WADOGOWADOGO WATAKIWA KUZINGATIA TARATIBU UPATIKANAJI WA LESENI


Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko akisalimiana na viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Simanjiro mara baada ya kuwasili wilayani hapo kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku moja kutembelea eneo la wachimbaji wadogowadogo wa madini aina ya Rubi yaliyopo kijiji cha Kitwai A wilayani humo. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, Zephania Chaula.
 Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko akizungumza na mamia ya wachimbaji wadogowadogo wa madini katika mgodi wa madini ya Rubi uliopo katika kijiji cha Kitwai A wilayani Simanjiro mkoani Manyara  Baadhi ya wananchi pamoja na wachimbaji wadogowadogo wakifuatilia mkutano baina yao na Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dotto Biteko (hayupo pichani) kilichofanyika jana katika eneo la machimbo ya madini aina ya Rubi katika eneo la Kitwai A wilayani Simanjiro mkoani Manyara.
 Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Zephania Chaula akizungumza wakati wa mkutano baina ya Naibu Waziri wa Madini, Dotto Biteko na Wachimbaji wadogowado... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More