WACHIMBAJI WATELEKEZA MADINI NA PIKIPIKI NA KUKIMBILIA VICHAKANI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WACHIMBAJI WATELEKEZA MADINI NA PIKIPIKI NA KUKIMBILIA VICHAKANI

Kamishna wa Tume ya Madini Dkt. Athanas Machiyeke mwenye kofia ya blue na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama na viongozi mbalimbali wakifanya jitihada ya kuinasua Gari ya polisi iliyokuwa imenaswa kwenye maji katikati ya mto wakati wakielekea mgodiniamishna wa Tume ya Madini Dkt. Athanas Machiyeke akifukia shimo barabari ili kuwezesha magari yapite yaliyo kuwa yanaelekea mgodini kwa kwa lengo la kwenda kukagua shuguli za uchimbaji, mwenye sakafu ni mkuu wa wilaya ya Gairo na mwenye sare nyeupe ni askari wa usalama barabarani wilaya ya Gairo Sarehe Rajabu Mkambaku.Mkuu wa wilaya ya Gairo, Mwenyekiti wa Tume ya Madini na Kamishna wa Tume ya Madini na mjumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wakiangalia aina ya mawe yenye asili ya madini ambayo yameokotwa juu ya ardhi kwenye shamba la mahindi kandokando ya mto. Mwenyekiti wa Tume ya Madini Prof. Kikula wa kwanza kushoto akiangalia madini ya Rubi Nut yaliyotelekezwa na mchimbaji wa madini hayo Sadick Athuman maarufu kwa jina la Saadam al... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More