WACHONGA VINYAGO NA WACHORAJ WACHANGAMKIA FURSA MKUTANO WA SADC. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WACHONGA VINYAGO NA WACHORAJ WACHANGAMKIA FURSA MKUTANO WA SADC.

Wafanyabiashara ndogondogo na wachonga  Vinyago na Wachoraji wa picha mbalimbali wanaouza bidhaa zao kwa wajumbe wa mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo kwa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC),katika  eneo la barabara ya chuo cha IFM, wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, wakipanga biashara zao tayari kuwasubiri wateja.(Picha zote Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More