WACHUNGAJI WALA NONDOZZZZ MINNESOTA, MAREKANI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WACHUNGAJI WALA NONDOZZZZ MINNESOTA, MAREKANI

Wachungaji watatu kutoka KKKT DMP na mmoja kutoka KKKT Dayosisi ya Ziwa Victoria  Shinyanga Wamehitimu katika Chuo Kikuu cha Luther Seminary Minnesota USA tarehe 19/05/2019 kama ifuatavyo:-  Rev. Dr. Ernest William Kadiva ametunukiwa Phd - Doctor of Ministry,  Wengine wametunukiwa Master of Arts degree nao ni Rev. Kishe Dismas Mhando - na Rev. Kaanasia Geofrey Msangi, pia Rev. Martha Ernest Ambarang'u wa Dayosis ya Ziwa Victoria Shinyanga ametunukiwa Masters of Arts degree katika mahafali ya 150 iliyofanyika hapa Central Lutheran Church, Minneapolis na kuhudhuriwa na mamia ya wageni kutoka nchi mbalimbali na kutoka majimbo mbalimbali ya Marekani.  Picha kwa hisani ya Noah William Kadiva akiwa Minnesota, Marekani.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More