WADAU PS3, GHSC TA – TZ, WAUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI YA AWAMU YA 5 - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WADAU PS3, GHSC TA – TZ, WAUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI YA AWAMU YA 5

 Kutoka kushoto ni Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Bakari Kambi, Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Zainab Chaula na Naibu Katibu Mkuu OR-TA,MISEMI (Afya), wakati wa kikao cha pamoja na Wadau wa Maendeleo kujadiliana namna yakuboresha Mfumo wa GoTHOMIS. Katibu Mkuu Wizara a Afya, Dkt. Zainab Chaula akiongoza kikao cha pamoja baina ya Wizara ya TAMISEMI na Wizara ya Afya kilicho wakutanisha Wadau wa Maendeleo kujadili uboreshaji wa Mfumo wa GoTHOMIS ili uweze kutumika katika ngazi zote za kutolea huduma za Afya nchini (Picha na Maktaba ya TAMISEMI)Mkurugenzi wa Idara ya TEHAMA,Ofisi ya Rais TAMISEMI, Erick Kitali, akitoa mada wakati wa kikao hicho cha wadau juu ya uboreshaji wa Mfumo wa GoTHOMIS Ofisi za Wizara za Afya eneo la Mtumba mjini Dodoma. (Picha na Maktaba ya OR-TAMISEMI)
Na Atley Kuni- TAMISEMI.
Wadau wa Maendeleo nchini kupitia mradi wa Uimarishaji Mifumo katika Sekta za Umma (Public Sector Strengthening System-PS3) na (Global Supply Chain Technical Assistance Tanzania-GHSC TA ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More