Wadau wa kilimo washauriwa kuzalisha mbegu - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wadau wa kilimo washauriwa kuzalisha mbegu

WADAU wa kilimo na wakulima wakubwa kwa ujumla wameshauriwa kuanzisha makampuni ya mbegu ili kuifanya Sekta ya Mbegu kuwa na uzalishaji wa kutosha kwa mahitaji ya kilimo chenye tija hapa nchini. Anaripoti Christina Haule, Morogoro … (endelea). Afisa Udhibiti Ubora wa Mbegu kutoka Taasisi ya Kudhibiti ubora wa mbegu Tanzania (TOSCI), Zera Mwankemwa alitoa rai hiyo ...


Source: MwanahalisiRead More