Wadau wa ngumi:OBFT, TPBRC haijamtendea haki Mwangata - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wadau wa ngumi:OBFT, TPBRC haijamtendea haki Mwangata

Wadau wa ngumi nchini wameilishukia Shirikisho la Ngumi za Wazi (OBFT) na Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa (TPBRC) wakidai wasimamizi hao hawakuutendea haki msiba wa aliyekuwa bondia na kocha wa ngumi nchini, Benjamin Mwangata


Source: MwanaspotiRead More