Wadau wa tenisi wasema Serena Williams alibaguliwa kijinsia - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wadau wa tenisi wasema Serena Williams alibaguliwa kijinsia

Serena ameadhibiwa kwa kukiuka kanuni ya ukufunzi,kutoa matamshi ya matusi na kumuita muamuzi ''mwizi'' katika mchezo wa fainali ya Mashindano ya Wazi ya Marekani (US Open) alioupoteza dhidi ya Naomi Osaka wa Japan.


Source: BBC SwahiliRead More