Wafahamu wasanii 30 wenye tuzo nyingi za Grammy muda wote, Jay Z amkalisha Kanye West kwa wasanii wa Hip Hop - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wafahamu wasanii 30 wenye tuzo nyingi za Grammy muda wote, Jay Z amkalisha Kanye West kwa wasanii wa Hip Hop

Ikiwa ni mara ya 61 tuzo hizi kufanyika nchini Marekani, kuna orodha kubwa ya wasanii walioshinda tuzo za Grammy na usiku wa kuamkia leo na kuna wengine waliowahi kuweka rekodi zao kwa kuwa na tuzo nyingi za Grammy muda wote mpaka hivi sasa duniani.

Kwa upande wa Marapper wawili wakubwa duniani ambao walikuwa na ushindani mkubwa kwa kushinda tuzo hizi ni Shawn Corey Carter alimaarufu Jay  Z na rapper mwingine ambaye ni Kanye Omari West alimaarufu Kanye West ambao walikuwa na ushindani kwa kuwa na tuzo nyingi na kabla ya Jay Z kushinda alfajiri ya leo walikuwa na tuzo sawa ambazo ni tuzo 21 wote lakini Jay Z amefanikiwa kushinda tuzo na kufikisha jumla ya tuzo 22 za Grammy.

Ikumbukwe tuzo hizi zina vipengele zaidi ya 84 miongoni mwake ikiwa ni best of pop, rock, R&B, jazz, classical, Spoken Word, Musical Theater, and Music For Visual Media. Wafuatao ni wasanii waliokwisha wahi kushinda tuzo hizi mara nyingi zaidi kwa muda wote mpaka hivi sasa:-

30. Herbie Hancock... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More